language2.gif (10937 byte)

titolo.gif (33393 bytes)
Ni Maalum na kwa heshima ya mila, mazingira na watu wa Sardinia

Mara ya mwisho imerekebishwa : 03.14.01 

FAHIRISI

MAZINGIRA

HISTORIA

MIJI NA SEHEMU MUHIMU

MATUKIO

KITABU CHA PICHA

MAHUSIANO ZAIDI

HESIMA NA TUNZO

lite-giudeu.jpg (2398 byte)Pula na Pwani ya kusini Maelezo kamilifu ya pwani ya kusini ya Sulcis , yanayoambatana na picha maridadi na za kuvutia.
I Candelieri ("Mmiliki wa mshumaa") Katika Sassari inafikiriwa kama ni "sherehe kubwa". Ni nini hicho na kina maana gani kwa mji huo na wakazi wake?
Makanisa muhimu katika nchi ya Sardinia Historia ya nchi hii inatukumbusha Kipindi cha utawala wa kirumi wakati makanisa mengi yalijengwa Kisiwani Sardinia  The coro a tenores of Neoneli
Wanapenda kuwaonyesha kwa ufupi tu kazi yao ya mwisho ijulikanayo kama "Barones" ikiwashirikisha wageni mashuhuri kama Guccini, Ligabue, Brabduardi, Baccini na Elio. Pia utaweza kujionea historia ya kundi hili, maelezo kuhusiana na maonyesho yao mbali mbali na nyimbo zao nyingi zenyewe midundo na mirindimo ya kiasili ya ki-Sardinia. 
Ufunguo mkubwa wa kwanza wa kijiografia Ni maalum kwa ajili ya Sardinia, Inakupa fursa wewe kuangalia maelezo na ramani ya kisiwa hiki kwa wakati mmoja. Unaweza kubonyeza sehemu yoyote kwenye ramani kwa ajili ya kupata maelezo na picha kuhusiana na eneo hilo. 
Kikundi cha majadiliano chaa Sardegna. Ni kwa ajili ya kuwasiliana na watu wengine waliofungua site hii, kubadilishana mawazo pia unaweza kuanzisha mada yingine yoyote kwa ajili ya majadiliano.
Unaporuka juu ya anga ya Sulcis
Baadhi ya picha za kupendeza za Sulcis ya mashariki zilizopigwa toka angani.
Kwa hisani yetu tuma kadi Kadi za salamu zilizopambwa na picha nzuri za rangi mbali mbali zinazoonyeshwa sardinia inavyopendeza. 
Hifadhi ya Sulcic, Mbuga ya kupendeza iliyopo karibu na mji wa Cagliari.
Giara of Gesturi
Ni chemichemi ya jangwani ("Oasis") ya asili isiyoharibiwa hata kidogo na ni mahala pekee unapoweza kuaona makundi ya punda mwitu katika mazingira yake asilia.

dainolite.jpg (2926 byte)Hifadhi ya Mlima Arcosu

Moja ya kivutio kizuri katika kurasa zetu, ambayo ni hifadhi ya kwanza asilia katika Sardinia.
orchidlite.jpg (2797 byte)Maua ya asili ya Ki-Sardinia yenye maumbo ya ajabu
Ingawa mimea hii inatambulisha maadhari mazuri ya misitu ya kitropiki, ambapo kuna zaidi ya aina 60 zinapatikana Sardinia. Hapa tutajaribu tu kuwaonyesha siri ya maua yenye maumbo ya ajabu na rangi nyingi mchanganyiko za kuvutia.

Historia ya Nora na Sardinia
Ni matokeo mazuri ya kiutafiti yaliyofanywa na ya "2nd class c section of intermediary school" "B. Croce" ya Pula. Ni matokeo ya kwanza ya aina yake kwa ushirikiano kati ya Linea Poggio na shule za Sulcis.

ViKUNDI VYA MAJADILIANO
Ziara ya hisia katika Sulcis
Jiorodheshe kwenye orodha yetu ya majadiliano.
Isola Sarda: Safari mpya ya maajabu

Telefono antiplagio ni mgeni wetu

 

Tutumie maoni yako  

   

barra.gif (1564 bytes)

Isola Sarda 1997-2005 - Associazione Culturale Ciberterra - Responsabile: Giorgio Plazzotta
I contenuti appartengono ai rispettivi autori - Tutti i diritti riservati
The contents belong to the respective authors - All rights reserved